logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Fahamu Tarehe Kamili Ya Kila Fainali Ya Soka Barani Ulaya Mwaka Huu, 2025

Fainali ya Europa League itafanyika Mei 21, ikifuatiwa na ile ya Conference League mnamo Mei 28 na Champions League kufanyika Mei 31.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki07 January 2025 - 08:39

Muhtasari


  • Mwaka huu utashuhudia fainali za mashindano mbalimbali ikiwemo ile ya Club World Cup itakayopfanyika kwa mara ya kwanza, mnamo Julai 13.
  • Fainali ya Europa League itafanyika Mei 21, ikifuatiwa na ile ya Conference League mnamo Mei 28 na Champions League kufanyika Mei 31.