logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Fahamu Makundi Haramu Yenye Silaha Kali Mashariki Mwa DRC

Hii si mara ya kwanza kwa M23 kuteka mji wa Goma kwani mwaka 2012 waliuteka tena kabla ya kuondoka siku 10 baadae.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki31 January 2025 - 16:31

Muhtasari


  • Mashariki mwa Kongo, eneo lenye utajiri wa  madini limevutia makundi kadhaa haramu ambayo yamejikusanya msituni kupigana na serikali.
  • Kundi maarufu la M23 lenye wapiganaji Zaidi ya 8,000 mapema wiki hii lililemea wanajeshi wa Kongo na kuuteka mji wa Goma.