logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Fahamu Aina Ya Mipira Inayotumika Katika Mashindano Mbalimbali Ulaya

Mwezi uliopita, Mikel Arteta alikashifu mpira unaotumika katika mashindano ya kombe la Carabao kwenye mechi dhidi ya Newcastle. Carabao hutumia mipira ya Puma.

image
na MOSES SAGWEjournalist

Grafiki04 March 2025 - 15:59

Muhtasari


  • Mwezi uliopita, Mikel Arteta alikashifu mpira unaotumika katika mashindano ya kombe la Carabao kwenye mechi dhidi ya Newcastle. Carabao hutumia mipira ya Puma.
  • Hivi majuzi, kocha wa Manchester City Pep Guardiola alikashifu mpira uliotumika kwenye mechi yao katika kombe la FA. Kwa kawaida, mashindano ya FA hutumia mipira ya Mitre.
  • Ligi kuu ya Uingereza msimu huu inatumia mipira ya kampuni ya Nike, huku ligi ya mabingwa wakitumia mipira ya Adidas.

Aina ya mipira inayotumika kwenye mashindano mbalimbali

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved