logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mambo muhimu Mmiliki wa Man Utd Jim Ratcliffe alifichua kuihusu

Kulingana na bilionea huyo, Manchester United ilikosea pakubwa kusajili wachezaji kama Casemiro., Antony, Hojlund, Onana na hata Sancho

image
na Samuel Mainajournalist

Grafiki11 March 2025 - 16:20

Muhtasari


  • Kulingana na bilionea huyo, Manchester United ilikosea pakubwa kusajili wachezaji kama Casemiro, Antony, Hojlund, Onana na hata Sancho.
  • Ratcliffe pia anahisi kwamba hatua ya kuamua kuendelea kusalia na Erik ten Hag kama kocha baada ya kushinda FA msimu jana ilikuwa moja ya makosa makubwa United ilifanya.
  • Ratcliffe alifichua Man United walikuwa katika hatari ya kufilisika ifikapo mwisho wa 2025 kama asingenunua hisa zake.

Maoni ya Jim Ratcliffe kuhusu Man Utd

Makala Zinazohusiana


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved