Sema Na Raey: Wanaume Wawili Wapigania Mwanadada Hewani

Hivi majuzi kulikuwa na kizazaa katika kipindi cha 'Sema Na Raey'.

Jamaa mmoja kwa jina Ken alidai kuwa anamshuku mkewe wa miaka mitano kuwa ana uhusiano na jamaa kwa jina Collins, akidai kuwa anashuku uhusiano huo umekuwa ukiendelea kwa miaka miwili sasa.

Wawili hao walianza kujibizana huku Collins akikubali makosa yake lakini bwana Ken bado akishuku kuwa bado uhusiano huo unaendelea.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be