logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Nilikuwa naoshea watu viatu,' Bongo star Rayvanny opens up on life before fame

'Nilikuwa naoshea watu viatu,' Bongo star Rayvanny opens up on life before fame

image
na CONSOLATA MAKOKHA

Habari14 November 2018 - 15:00

Muhtasari


    rayvanny
    Tanzania’s Rayvanny has always dreamt of becoming a great singer, even after he completed his studies. The BET award winning artiste opened up to Radiojambo.co.ke about his journey before fame.
    NEVER LOSE HOPE IN WHATEVER YOU ARE DOING. HAKUNA MTU ALIYEANDIKIWA ATAKUA TAJIRI. KILA MTU ANAEZA KUWA KILE ANACHOKITAKA

    He then revealed that he used to shine shoes for people and acted as Mtu Wa mkono to get money.

     NILIPOTOKA SHULE NILIANZA KUFANYA MZIKI INGAWA NILIKUA NAFANYA KAZI HAPA NA PALE KAMA MTU ANGENIAMBIA, NIOSHEEE VIATU AMA KUSHUSHA MIZIGO ILI NIPATE HELA LAKINI HIZO ZOTE ZILIKUA ZA KUFANYA MUZIKI.

    The star who is in the country for Coke Studio has promised Kenyans a mega festival show next month with his fellow Wasafi singers.

     WASAFI FESTIVAL WILL BE ONE OF THE GREATEST FESTIVALS HERE IN KENYA, AND WE WILL HAVE MORE ARTISTES FROM KENYA AS WELL

    This comes after his latest song, titled “Mwanza”, featuring Diamond Platnumz was banned in Tanzania.

    Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) announced that the song lyrics were too vulgar and promote immorality among the youth. Diamond responded:

    LICHA YA KUWA NI KWELI #NYEGEZI NI ENEO NA KITUO CHA MABASI KILICHOPO MWANZA, LAKINI PIA NI VYEMA KAMA BALAZA LETU PENDWA LA SANAA KUTAMBUA PIA KUWA SIO KILA NYIMBO NI KWAJILI YA WATOTO WADOGO… HIVYO KUSEMA ISIPIGWE KWENYE TV NA RADIO TUMEKUBALI, LAKINI IWE KWENYE ULE MUDA AMBAO SERIKALI ULIUWEKA WA KUWA WATOTO WAKO MACHO, ILA PALE WANAPOLALA, BASI URUHUSIWE ILI WALENGWA WAUTAZAME…

    PILI:- KUSEMA TUIFUTE MITANDAONI PIA, NAOMBA PIA BARAZA LETU PENDWA LITUTAZAME PIA NA HAPO. KWASABABU MTOTO MDOGO TUNAEMLENGA KUMLINDA ASIHARIBIKIWE KIMAADILI HAPA, SIZANI KAMA MZAZI WAKE ANAWEZA KUMRUHUSU AKAPERUZIPERUZI BILA MIPAKA MITANDAONI MAANA KAMA KWELI ANA UWEZO WA KUFANYA HIVYO BASI ANAUWEZO WA KWENDA KUANGALIA HATA VIDEO ZA UTUPU, NA VITU VINGINE AMBAYO WOTE TUNAFAHAMU NDIO HATARI NA MADHARA ZAIDI KWA WATOTO, KULIKO HICHI KINYIMBO CHETU CHA #MWANZA NYEGEZI.

    The video of the exclusive interview is below:

    The song, which had already amassed 1 million views on YouTube, will no longer be played on radio, TV or clubs in Tanzania.


    RADIO JAMBO FREQUENCIES

    Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


    logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved