PATANISHO: 'Wewe bwanangu sio ndege yenye itanipeleka America!'

Caro alituma ujumbe akiomba apatanishwe na bwanake kwani watoto wake wanateseka, akidai kuwa alimng'oa jino.

Mimi nimeishi na huyu mwanaume 13 years ambapo alikuja akaoa mke mwingine na akanipiga, akanidunga kisu, akaning'oa jino na bado amekataa kushughulikia watoto. Alijieleza Carol.

"Ilikuwa last year mwezi wa kumi na enyewe nilimkosea bibi yangu sana na naomba msamaha, Sitawahi rudia tena hadi radi inipasue, niliomba msamaha hadi kwa pastor na nikaapa kuwa sitarudia tena. " Alijietetea bwana Titus huku akiwa mwenye majonzi mengi.

Isitoshe Carol naye alibadilisha mambo na kumuomba mumewe atafute mke mwingine kwa hofu kuwa atauliwa mwishowe.

Wewe Titus nakuambia wewe sio ndege yenye itanipeleka America! Aliongeza Carol akidai hataki kurudiana na mumewe lakini anataka ashughulikie watoto.

&t=623s