logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Bwanangu alitoweka nyumbani, nikipiga simu mwanamke ndiye anajibu

Bwanangu alitoweka nyumbani, nikipiga simu mwanamke ndiye anajibu

image
na

Burudani01 October 2020 - 23:36
Peninah mwenye umri wa miaka 36, alituma ujumbe akisema kuwa amekuwa kwa ndoa ya miaka kumi na mitano ,akisema kuwa mumewe hajawahi enda kuwaona wazazi wa Peninah.

"Kitu ya kwanza hajui kwetu halafu nikimwambia story za kwenda hataki saa zingine anasema ameenda kazi za miezi tisa. Watoto walikuwa shule ya boarding na sasa amewatoa na tukaanza kusumbuana. Kumpigia simu wanawake ndio wanajibu simu." Alieleza Pesh.

Kuna siku nilukuwa nafanya kazi kwa shule na mwanamke mwingine alinitumia ujumbe akisema kuwa mimi ni maid wa shule. Sasa mimi pekee ndio nagharamia watoto." Aliongeza akisema anataka kujua msimamo wake kwani kama anataka aondoke, ataondoka.

Mumewe Pesh alisema kuwa amekuwa akimuekea biashara kadhaa ambazo huanguka baada ya miezi kadhaa na isitoshe amekuwa akichukua mikopo mingi.

Isitoshe alisema kuwa yeye ni askari na msimu huu wa Krisimasi wao huwa na kazi nyingi sana na kufanya iwe ngumu wawili hao kupatana.

"Basi mimi niko hapa Murang'a anitembelee hata kama ni siku moja au mbili kama anahofia nina mwingine." Alisema.

Pata uhondo kamili.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved