logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Patanisho: Bwanangu alisave picha ya mpango wa kando kama screensaver

Patanisho: Bwanangu alisave picha ya mpango wa kando kama screensaver

image
na

Habari02 October 2020 - 01:30

Bwana Okumu na bi Tecla waliachana baada ya bibi kutoroka mwezi wa pili mwaka huu. Kisa na maana? Tecla aliibua kwamba Okumu alienda kulala nje siku kadhaa Tecla akakasirika.

Okumu alieleza:

bwana Ghost bana nimepitia changamoto mingi. Mimi nimekaa na bibi yangu miaka nne, na bibi yangu anilimuoa akiwa na mtoto wa mtu mwingine. alijifungua akiwa shule, na nikaona kuliko akae kwa boma, nikamuoa nikampeleka nyumbani, tukapata mtoto msichana.

kukaa hivi tukaanza mambo ya nyumba tukaanza kusumbuana na mwishowe akaniibia vitu zangu akatoroka nyumbani Februari mwaka huu.

Sasa aliniibia mabati zangu na kuku, kila kitu yani maisha ikaanza zero tena. Nilikuwa nime enda kazi.

Je alikuwa wapi bibi yake kaiiba?

Nilikuwa nimeamka asubuhi nimeenda kazi. ati alinishuku niko na mpango wa kando

Je amekubali hayp mashtaka?

Eh nimekubali nilukuwa na mpango wa kando.

Sasa hivi tukuongea, mke wake ako wapi?

naiskia ako upande wa Nyahururu Laikipia na anafanya huko kazi alipotoroka aliwaachia sister yake mtoto huko nyumbani na huyo mtoto aliwachwa side ya Webuye. 

Hakuniwacha na mtoto alitoroka na mtoto pia. 

Tangiye wameongea?

Karibu siku mbili iliyopita, anasema ningoje mpaka Decemba anasema tuu tutarudi pamoja na baba yake mpaka amenipigia simu akisema nikae na mtoto wake tuongee nimkalishe chini.

Ghost alipigia Bi Tecla simu ambaye alisema

'Okumu alikuwa anaenda nje na alikuwa akisema mimi sio bibi yake. Ati bibi  yake ni Purity. Aliweka picha ya Purity kwa screen ya simu aliniandikia barua akasema mimi siyo bibi yake, bali ni Purity. Aliandika akaniwachai kwa meza. 

Tecla akakta simu, na mawasiliano yakaisha hapo baada ya Bi Tecla kukaasirishwa na maneno ya Bi Purity na yeye mwoyo wake bado anasononeka.

Skiza kanda ifuatayo


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved