''Simba ana sifa nyingi,ni mtu wa wake watatu''Diamond asema

Diamond Platnumz ajuklikanaye kama Simba alizuru mbuga ya wanyama na akizungumza na vyombo vya habari alipoulizwa ni tabia zipi za simba zinazo fanana naye alisema,

“SI KILA SIKU KUPIGA PICHA NA MA-SLAY QUEEN HOTELINI JAMANI. SIMBA ANA SIFA NYINGI, NI MTU WA WAKE WAWILI WATATU.

SIMBA NI MTU MKARIMU SANA, MTU WA WATU, ILA UKIMCHOKOA, UNAISHA.”

Si maraa ya kwanza Simba kukubali na kusema kuwa, ana wake wengi.

Katika mahojiano mwaka ulipota, Diamond aliema kuwa, dini yake inamkubalia kuwa na wake wengi na si shida kwake kuwa na wake wengi.

Jamaa huyu amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mab9nti wengi sana kama Zari Hassan, Hamisa Mobetto, Mheshimiwa Jokate Mwegelo, Jacqueline Wolper,Wema Sepetu ,Lulu Diva na kwa sasa ana binti wetu wa kenya,Tanasha Donna.