Staa wa kundi la Ochungulo alibahatika kumpata mrembo katika mamia ya warembo waliofika katika tamasha hilo.
Katika mahojiano na paparazzi wetu,
Benzema alieleza furaha yake kumpata mrembo huyu.
Soma hadithi nyingine;
Katika mahojiano Jumamosi katika hafla ya OktobaFest iliyofanyika kwa siku 2 Race Course Ngong,
“Ndo huyu hapa amevaa purple anaitwa sherry. Amevaa purple angalia smile yake na ni mrembo sana."
"Nikimuoa basi Mungu ataamua..." Alijibu staa huyu alipoulizwa iwapo ameona mrembo mzuri katika ile hafla.
Aidha, Benzema alisisitiza kuwa wadhamini kwa fiesta hiyo waliwachagua kutokana na bidii zao za mchwa katika muziki.
Soma hadithi nyingine;
“Eeh ni poa lakini poa tumekuwa tukichapa kazi so tunadeserve hiyo chance…”
Ochungulo sasa wanapania kuangusha ngoma kubwa na kundi maarufu barani Afrika la Sauti Sol
“Muziki iko na sautisol, tunaipika bado…”
Kikundi hiki pia kilikatisha collabo waliofaa kushirikisha kundi la Ethic na sababu zao zipo wazi,
“Haikuwa noma sisi tunachagua kitu tunafeel ni noma hakuna haja tufanye collabo kubwa na sio hit…