Mamake Diamond, mama Dangote asema kuwa hakumuoa mume wake Rally Jones kupata watoto bali kujivinjarai na kufurahia maisha.
Vilevile, alisisitiza kusema kuwa, mume wake anampenda alivyo na ikushangaa itakuwaje watu wanataka apate mtoto mwingine hata na uzee wake.
“With all this maturity, you are asking me to give birth? We got married to have a good time and not to give birth. My husband loves me just the way I am,” Mama Dangote alisema.
Bii huyu alisema maneno hayo baada ya mtoto wake wa kike binti Esma Khan kumwomba mama yake amzalie dada mdogo.