''Sijuti chochote,'' Soma ujumbe wa Diana Marua siku yake ya kuzaliwa

Jana ilikuwa siku kuu kwa kidosho Diana Marua. Binti huyu aliyeolewa na mwanamziki wa nyimbo za injili Bahati alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kupitia mitandao ya kijamii binti huyu alisema wazi kuwa hajuti chochote maishani mwake na anashukuru Jalali ajaliye kwa yote aliyomfanyia.

‘TODAY, I’VE STEPPED INTO THE 3RD DECADE OF MY LIFE! I’VE NEVER FELT SO CERTAIN AND SURE ABOUT THE PURPOSE THAT GOD HAS CALLED ME TO LIVE FOR.

https://www.instagram.com/p/B4fiTCEAa8s/

MY PRAYER WAS TO HAVE A SETTLED LIFE AND A FAMILY BEFORE THIS DAY AND FOR SURE, EVERYTHING I EVER WISHED FOR UNFOLDED IN GOD’S PERFECT TIMING.

AS I TAKE TIME TO RELAX, ENJOY AND MEDITATE ABOUT MY LIFE.

I HAVE SOO MUCH TO THANK HIM FOR.'' Diana alisema.

Zaidi ya hayo, Diana alizidi kusema kuwa kila kitu kilichofanyika maishani kimemsaidia vilivyo maishani iwe ni kitu kilichofaulu maishani au ni kitu ambacho hakikufaulu maishani kwake.

''THE THINGS THAT WORKED AND DIDN’T WORK OUT IN MY LIFE, THEY’VE SHARPENED ME TO BE WHO I AM TODAY.”
‘I’VE MADE MANY MISTAKES, I’VE LEARNT ALOT OF LESSONS, NO REGRETS'' Alisema.

Vilevile, alizidi kusema kuwa, cha maana sasa maishani kwake ni uwezo wa kuweza kupumua na kuweza kufanya mambo anayopangia akilini.

''HOWEVER, WHAT MATTERS MOST IS THE CHANCE I HAVE TO BREATHE AGAIN AND MAKE EVERYDAY COUNT.

30 HAS NEVER LOOKED SOO PROMISING AND TO HAVE MY RIDE OR DIE BY MY SIDE, ONE THING I’M SURE OF IS THAT WE WILL MOVE MOUNTAINS TOGETHER.

GOD IS TAKING US TO LEVELS FULL OF ABUNDANCE JUST TO REVEAL HIS GLORY THROUGH US.’

Bila kusita, binti huyu alifunguka wazi na kumshukuru mume wake kwa kuwa pamoja naye maishani na kumsaidia kufanya mambo mengi. Licha ya hayo, alizidi kusema kuwa, anamshukuru mume wake kwa kumpa maisha mazuri. Ama kwa hakika, mapenzi ni matamu.

https://www.instagram.com/p/B4DEgffgJ2z/

‘BABE, THANK YOU FOR MAKING MY LIFE BEAUTIFUL FOR ASSURING ME EVERYDAY THAT NOTHING IS IMPOSSIBLE IF I PUT MY MIND ON IT.

THIS DAY WILL ALWAYS BE IN MY MEMORY AND I THANK GOD HE PICKED THE BEST FOR ME. THE FATHER TO MY AMAZING KIDS, I LOVE AND APPRECIATE YOU EVERYDAY DAY OF MY LIFE!’

‘TO MANY MORE BIRTHDAYS BY YOUR SIDE IS MY PRAYER TO GOD. LET’S CONTINUE DOING LIFE TOGETHER ❤🙏’

Nasi hapa Radio Jambo ,tunazidi kumtakia Diana heri njema ya siku yake ya kuzaliwa.Jalali amtunukie baraka tele.