MacDonald Mariga sahau siasa na uoe Joe Muthengi,wafuasi

Screenshot_from_2019_11_11_09_22_36__1573453387_24634
Screenshot_from_2019_11_11_09_22_36__1573453387_24634
Baada ya MacDonald Mariga kupoteza uchaguzi mdogo wa Kibra, wafuasi wake sasa wanamwambia asahau siasa na aoe Joe Muthengi.

Hii ni baada ya Joe Muthengi kumpongeza kwa vita alizopigana ili kuchukua nafasi ya pili baada ya Imran.

Wawili hawa waliwahi kutokea katika tangazo la kibiashara la Betin na kwa hivyo haikuwa ngumu kwa Joe kumpongeza staa huyu wa soka.

Japo Mariga alipoteza kwa Imran aliyejizolea kura 24,636,Joe anaamini kuwa Mariga alitwaa ushindi mkubwa katika uchaguzi huo mdogo.

https://www.instagram.com/p/B4pPaJnhXaU/

"Ulifanya vizuri bro. Najivunia ushindi wako." Aliandika Joe.

Wafuasi wa Joe walimjibu kuwa asahau siasa na aolewe na Mariga,

Hizi hapa baadhi ya jumbe,

jones.kariuki The guy is shy. He can’t propose. Just go ahead and do it. This is 2019 and it’s normal nowadays.

Jalango_alfred Joey stop pretending, you love this guy. Karibu Mariga.

rotichkorir Peleka yeye sasa bedroom iko na mattress, ile ingine alipata iko na mawe.

maryannwangechi You match and can do more well together.

benjamin_kyalo Joey I know you truly love this guy….Mariga.

https://www.instagram.com/p/B4pEDTEBRFl/

doriswangarimwangi You guys would make a brilliant couple.

sayianka advise him to stay away from politics… it is dirty and mess

quinternjeri What a couple… Looking cute.

wesleymetine You deserve each other ya’ll lol.

janesjoestroem Are you dating??? You should get married already ndio 2022 akiwa mp u will be first lady.

estherkasayaungadi If he is single and you are single why dont you became double.

sultanmayaka Sasa tuanbie ukweli! Harusi ni lini? Hope not it’ll not be for the only invited guests! I will storm it and vanish off with the 🎂.

is_phyl You look good together…I like your friendship.