Mimi sio mpumbavu! Huddah Monroe afoka

huddah (1)
huddah (1)

Huddah Monroe, ni mmoja wa wana mitindo wa  umu humu Kenya ambaye ametamba sana nchini na hata pia duniani.

Binti huyu ambaye ana biashara chungu nzima zinazofanya vyema alipandwa na mori wakati ambao mashabiki wake walidai eti hana akili kwa sababu hajaenda shule kusomea digrii.

https://www.instagram.com/p/B4eTDXHDZJD/

Hivyo basi,binti huyu amesema kuwa ataenda shuleni kusoma digrii ndipo awaonyeshe mashabiki wake kuwa yeye si mjinga.

F

Zaidi ya hayo, binti huyu alisema kuwa anajua kuwa yeye ana akili zaidi ata kuwashinda watu waliosoma na kupata digrii.

https://www.instagram.com/p/B4l_j1Zj7qW/

''I can’t wait for my degree so y’all stop saying I’m dumb, I’m smarter than 99% of people who have that paper and a graduation photo.'' Huddah alisema.

Vilevile, Huddah alizidi kusema,

''I decided that piece of paper won’t weigh me down. People like to point fingers she is not a graduate as smart as one can be lol So let’s goo bitches, I’ll beat you at your own game. They’ll be nothing to talk about