(+ Jumbe) Tangazo la HELB lakasirisha wakopaji mtandao wa Twitter

EJo0JnZXUAAlg3h
EJo0JnZXUAAlg3h
Tangazo la bodi ya mikopo kwa wanafunzi nchini (HELB) limewapata pabaya waliokopa mikupuo.

Wengi wao wamekerwa na uamuzi wa bodi hii kuchapisha majina waliokosa kulipa deni.

HELB inatilia mkazo waliokopa waweze kufanya hivyo kwa haraka ili kuepuka kuchapishwa.

Bodi hii imeapa kuchapisha majina na picha ya wale walioshindwa kutimiza miadi ya kulipa mkopo huo kwa kile wanasema ni juhudi za kuwaokoa wanafunzi wengine wanaohitaji mikopo hiyo.

Tazama baadhi ya Jumbe,

https://twitter.com/KimaniSammy6/status/1196011457026109441

"Youths don't have jobs do you expect them to pay the loans using stones?..this is total crap.this country is collapsing at a faster rate than we thought.."

https://twitter.com/munda_phil/status/1196328062792671232

"At-least some of us will appear on the Newspaper for the first time. Dear Helb, incase you need my good photo please DM or call me..."

https://twitter.com/Jpaul254/status/1196326648397881344