Siri za kunogesha kazi ya mochari, Mwakorongo asimulia A-Z

Screenshot_from_2019_11_28_15_57_52__1574945928_12432
Screenshot_from_2019_11_28_15_57_52__1574945928_12432
Mwakorongo amefunguka kuhusu siri zake za kunogesha kazi ya mochari.

Jamaa huyu anamiliki mochari mjini Voi na ana mipango ya kufungua matawi mengine kaunti ya Taita Taveta.

Kwa sababu kazi nyingi Mwakorongo ameweka wazi kuwa atafungua matawi katika sehemu tofauti,

“Halafu sasa nafungua tawi nyingi kwa sababu watu wanakufa sana.Nataka nifungue Mwatate,nifungue Buguta,nifungue na Taveta..”

https://www.instagram.com/p/B5aGGxZAQIQ/

Aidha, mwanamume huyu ametoboa siri ya kazi yake,

“Ni kazi na ambayo inalipa. Halafu siri kubwa sana. Unaona kazi yangu ya mochari,kwa nini inaendelea? Huwa natoa sadaka kasisi anaombea biashara yangu inanoga…”

Amesema kuwa juhudi zake za kutoa sadaka zinaongeza pia kazi,

“Jinsi ninavyozidisha kutoa sadaka, vifo vinaongezeka. Lazima mtu awekeze kwa kanisa kupitia sadaka ili biashara iwe nzuri…”

Mwakorongo hawakuwaacha nyuma wagonjwa ambao ni mahututi,

“Na ukiona wewe ni mgonjwa unataka kufa you pay…”