Picha ya siku: Mti wa Krisimasi JKIA, economy ni mbaya hivi?

christmass tree
christmass tree
Mti wa Krisimasi JKIA, economy ni mbaya hivi? Hilo ndilo lililokuwa swali kuu kutoka kwa msanii Daddy Owen, baada ya kuiona picha ya mti wa Krisimasi ulioko katika uwanja wa kitaifa wa ndege wa Jomo Kenyatta.

Mda mchache tu wakenya kutoka tabaka mbali mbali walirukia picha hiyo na kutoa maoni yao;

Kenzo Matata: Utaskia ilikuwa 2 million 😝

Matwana culture: Hawa watu wanatuaibisha

Kriserroh: kwa ground ni kugumu bro.

Siri: wangepanda tu Cyprus tree😃

Steic: And you may find a receipt of 1million expense for Christmas tree ........

Frazer: 🤣🤣🤣🤣😂😂😂🙌 ukichunguza budget ya xmas tree ilikuwa na committee...3 million only for it to disappear and this to show up...kenyans🤦‍♀️

Tazama picha hii,