logo

NOW ON AIR

Listen in Live

(+Picha) Ommy Dimpoz , Nandy waonyesha mahaba mazito Insta

(+Picha) Ommy Dimpoz , Nandy waonyesha mahaba mazito Insta

image
na

Yanayojiri02 October 2020 - 10:10
Screenshot_from_2020_01_02_13_31_06__1577961090_82378
Picha za staa wa muziki Tanzania Ommy Dimpoz zimewakosesha wengi usingizi Insta.

Mapozi ya picha za Ommy na msanii wa kike Nandy zimewaacha wengi wakihisi kuwa huenda penzi nzito linaota kati ya mastaa hawa.

Mahaba mengi yamekolea katika picha hizi.

Je, unahisi kuwa Ommy anamnyemelea Nandy.

Au labda ni kazi mpya wanayoifanya ya muziki.

 Tumekusogezea hapa kama zote:

Sio mara ya kwanza Nandy kupiga picha za kimapenzi na mastaa wa kiume.

Aliwahi kufanya na Willy Paul na story zikaenea kuwa wawili hawa walikuwa katika mapenzi ya kweli.

Picha zake na msanii wa Bongo Nandy zililipua mtandao baada ya fiesta ya Choma Na Ngoma na kuwa gumzo kubwa kitaani.

Katika mahojiano na vyanzo mbalimbali nchini, Willy Paul alikana tetesi kuwa anatoka kimapenzi na nyota huyu wa Tanzania.

"Nandy ni dadangu mkubwa. Namheshimu sana." alijitetea Pozze.

Mwanasiasa Musalia Mudavadi alikuwa kati ya watu waliotoa maoni yao kumhusu muimbaji huyu na kumuomba ajirudi. Mwanamuziki Alaine pia alitoa kauli yake na kusema kuwa wakenya wasimkosoe kwa ukali ila wafanye hivo kwa mapenzi.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved