SKENDO? Nani kamkwaza msanii Bilnass?

Billnass
Billnass
Mashabiki  wengi wamekoa kujua yaliyomfika mwanamuziki Bilnass baada ya kuweka picha kwenye instagram akiwa  na alama za kujeruhiwa usoni .Ila msanii huyo hajaeleza kilichotokea bali kuweka ujumbe mrefu wenye mafumbo ambao wengi hawajauelewa.

Ujumbe wenyewe aliouweka kwente instagram ulisoma hivi;

https://www.instagram.com/p/B7DNsxrDkqH/

Rapa huyo kutokea bongo  Amewafanya wengi kumhurumia labda huenda kapigwa na majangili au kupata ajali  lakini maelezo yanayoeleweka hayapo.