logo

NOW ON AIR

Listen in Live

UNYAMA!Jamaa ‘ambaka mbwa’ hadi kufa Kangundo.

UNYAMA!Jamaa ‘ambaka mbwa’ hadi kufa Kangundo.

image
na

Burudani02 October 2020 - 04:39
Jamaa aliyekamatwa na polisi kwa kumbaka mbwa huko Kangundo
Mwanamme mmoja huko Kangundo katika kaunti ya machakos  amekamatwa na polisi baada ya   kufanya kitendo cha ngono na mbwa wa familia yao  hadi kumwua .Chifu wa eneo la Isinga Bethuel Kingele  amesema Boniface Wambua  mwenye umri wa makamo alipatikana na mamake akifanya kitendo hicho . Kingele pia amesema mipira ya kondomu iliyotumiwa ilipatikana katika eneo la kisa hicho . Hata hivyo inaripotiwa kuwa jamaa huyo hivi karibuni amekuwa akifanya vitendo visivyo vya kawaida na huenda anashiwishiwa na dawa za kulevya anazotumia .

Mamake mshukiwa amesema  alishuku kuliwa na tatizo wakati aliposkia mbwa huyo akipiga kamsa kwa muda mrefu .Mshukiwa huyo amezuiliwa katika kituo cha polisi cha Kangundo  na atafikishwa kortini siku ya alhamisi . Polisi walimlazimisha mshukiwa  kumbemba mbwa huyo kama ushahidi


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved