Buriani:Picha za mwendazake MCA wa Kiambu Cyrus Omondi

Mwakilishi wa wadi wa kaunti ya Kiambu Cyrus Omondi aliaga dunia alipokuwa katika ziara ya kikazi nchini India.

Kulingana na spika wa bunge la  Kiambu Stephen alisema  Cyrus aliaga kutokana na mshtuko wa moyo.

kwa mara ya tatu alishinda kiti hicho baada ya kujiunga na chama cha Jubilee.

Licha ya Cyrus kuwa mwenyeji wa kaunti ya Siaya aliwania kiti hicho na kushinda, kulingana na habari mwakilishi huyo alikuwa na mwenzake katika ziara hiyo  na mwili wake kupatikana katika chumba alichokuwa amekodi kulala akiwa ameaga dunia.

Cyrus alikuwa kiongozi mchangamfu na mwenye bidii katika kazi yake.

Baadhi ya picha za mwendazake ni kama vile zifuatazo;

Wananchi wameungana na wakaaji wa Kiambu na kumuomboleza Cyrus, hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

Julius Okonda We all know Cyrus Omondi was “Instrumental” in Waititu Impeachment Motion? #kiambu #cyrusomondi R.i.p Gearbox.

Hin. William Chepkut With a heavy heart, I pray for the eternal repose of one who was a man of distinguished humanity. God rest his soul in peace.

Betty Opondo God whyyy!!

Hon. Isaac Maura Shocked to learn of the death of my long time friend and comrade MCA Cyrus Omondi of Kahawa Wendani ward, in Ruiru, Kiambu County. A great man indeed who overcame so many odds to be an MCA in a predominantly Kikuyu constituency, Omondi stood firm for Kiambu people

Sean Betsy The best MCA Kahawa Wendani ever had mpaka tukona lights Uku Kwetu it’s not gotten to my head n a still in shock those who are making fun out of it God anawaona RIP mkubwa.

Irene Matui Gone too soon…can’t believe this…Rip Mca Cyrus Omondi such a great a friend a mentor at some point.