Akothee
Ni msanii ambaye anafahamika sana kwa nyimbo zake na hata kwa kuwakosesha wengi usingizi kwa ajili ya urembo wake.
Huddah Monroe
Mmmh!! kwa hakika ana urembo usio na mwingine, huddah kwa kawaida nywele yake kila wakati huwa na mtindo wa kipekee na inakalia freshi kabisa.
Kirigo Ng’arua
Alituonyesha upande wake mwingine wa kutokuwa na nywele za kubandika bali ana nywele za kiasili.
Emmy Kosgei
Mashabiki wake wamemzoea na nywele zake za kiasili, msanii Kosgei huwa na nywele rembo sana
Terryanne Chebet
Walisema urembo wa mwanamke ni nywele lakini kwa hakika urembo wa aliyekuwa mtangazaji wa Citizen Chebet umetokea kila mahali awe ana nywele au la.
Vivian Kenya
Ni msanii ambaye ameimba nyimbo zake akiwashirikisha wasanii tofauti, amewaacha wengi wakimwaga mate kwa sababu ya urembo wake.
Ajuma Nasenyana
Amefahamika kwa kazi yake ya mashindano tofauti ya mfano.
Lupita Nyong'o
hawezi sahulika katika orodha hii, ni mwene urembo wa kiafrika na wa kipekee
Rue Baby
Kwa hakika amefuata mtindo wa mama kwa kutosonga nywele yake.