logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mtoto wa nyoka ni nyoka,’Rue Baby awaita walinzi kumtoa Akothee katika sherehe yake

Mtoto wa nyoka ni nyoka,’Rue Baby awaita walinzi kumtoa Akothee katika sherehe yake

image
na CONSOLATA MAKOKHA

Habari24 February 2020 - 11:17

Muhtasari


    Mwanawe Akothee Rue Baby alisherehekea siku yake ya kuzaliwa wiki jana huku akiweka sherehe hiyo jumamosi katika klabu cha golden bistro katika barabara kuu ya Mombasa.

    Waliopewa mwaliko katika hafla hiyo walikuwa watu wa umri sawa na Rue lakini cha kushangaza ni kuwa mamake Akothee alifika katika mkahawa huo vile vile kando na matarajio ya mwanawe.

    Baada ya kuingia katika eneo hilo lililokuwa na walinzi ,Akothee alielekea moja kwa moja hadi kwa meza aliyokuwa amekaa mwanawe Rue na marafiki wake waili ,jambo ambalo lilimkere sana mwanawe na kuwaamrisha walinzi hao wamtoe [Akothee]hobela hobela hadi nje.

    “Security she was not invited, security please nmewalipa please atolewe.” Rue aliwaambia walinzi.

    Akothee hakuwa na namna ingine kwa hasira alitoka huku akisindikizwa na walinzi hao.

    “You are throwing me out even after dancing.” Akothee aliuliza Rue.

    Msanii huyo hakusita aliandika maoni yake kuhusu kitendo hicho alichimfanyia mwanawe Rue katika mtandao wake wa kijamii

    “I invited myself though, she didn't allow me to her table but was all goos I had fun @Rue.baby.” Aliandika.

    Paparasi wa mitandaoni hawakuachwa nyuma na tukio hilo kwani walinakili kila lililojiri na kutoa hisia zao.

    Kevin Wamukota Mtoto wa nyoka ni nyoka.

    Jacquie Love Professional gate crusher haha.

    Car Roll Twentyfour Security is tight na ungekua prezzo?

    d.i.a.n.a So you finally invited yourself to Rue’s birthday party…I love the way you create job opportunities for your fellow Kenyan all those bodyguards.

    metrinlavusa So you made sure umevuruga kidogo.

    ewwainaina Love it…. the bond is real.

    Mary Atieno @madam boss my President, with all due respect mom, the party was Rue’s not yours!!..How could you dance as if the party was yours????..


    RADIO JAMBO FREQUENCIES

    Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


    logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved