Kando na changamoto ambazo wanazipitia kuwalea wanao ,wamejikakamua kadri ya uwezo wao kusukuma gurudumu hilo la kuwa wazazi katika maisha yao.
Hapa tumekupa baadhi ya wanawake hao.
Lilian Muli
Mwanahabari huyu amebarikiwa na watoto , amekuwa akipendeza sana katika mtandao wa kijamii kutukana na umbo lake la kupendeza.
Pierra Makena
Ni DJ ambaye amewatumbuiza wengi na kuwa furahisha wengi kwa kazi yake nzuri. mbali na kazi yake amelea mwanawe kwa njia nzuri sana.
Grace Msalame
Kwa hakika huwezi fahamu kuwa Grace ana wasichana mapacha wenye sura nzuri, wamekuwa kwa haraka baba wa watoto wake ni pacha wa mumewe mtangazaji Janet Mbugua.
Brenda wairimu
Ni muigizaji ambaye hana mengi ua kuzungumziwa,kando na taaluma hiyo yake ,amekuwa mzazi bora kwa mwanawe wa kike kutoka utotoni.
Terryanne Chebet
Alifahamika sana sura yake ilipoonekana katika runinga ya Citizen, mbali na kazi yake amebarikiwa na mschina mrembo kama yeye mwenyewe
Caroline Mutoko
Alimchukuwa mwanawe akiwa na miezi nane, wanafanana sana Mutoko amejikakamua sana kwa kumlea mtoto wake na kumpa maisha ya kifahari.