Mke wangu amekuwa akipekejeng na dereva wangu-Mwanaume asimulia

Ni mambo mengi ambayo wanandoa wengi hupitia katika ndoa zao, sanasana mpango wa kando ukiwa kipaumbele katika kuvunjika kwa ndoa nyingi humu nchini.

Kupitia mtandao wa kijamii mwanaume mmoja alifichua jinsi alivyo mshuku mkewe huwa anapekejeng na dereva wake na akaweka  kamera za siri ili apate ushahidi.

Alikuwa na haya ya kueleza;

"I HAD BEEN SUSPECTING SHE WAS CHEATING WITH MY DRIVER SO I MOUNTED A CAMERA IN MY SERVANT QUARTERS BECAUSE THAT IS WHERE THEY USED TO MEET.

THE CAMERA CAPTURED ALL THE DIRTY THINGS THEY DID.SHE WAS GIVING ANOTHER HEAD.

A COMMON DRIVER A HEAD YET  SHE WILL NEVER DO WITH ME . I HATE THAT WOMAN .I WANT TO HURT HER SO BAD THE WAY SHE HURT ME." Aliandika Ken.

Hakufua dafu mbali aliongeza na kusema;

"AND WHEN I SHOWED HER THE VIDEO AND EXPECTED AN APOLOGY SHE INSULTED ME AND CALLED ME A SMALL DI*K AND TOLD ME SHE WANTS A DIVORCE.

I FELT HUMILIATED SO I SACKED MY DRIVER BUT I DON’T WANT TO DIVORCE HER TILL I EXPOSE HER BODY ALL OVER THE INTERNET." Aliongeza.

Baada ya kufichua siri wengi walichangia katika mada hiyo na kufichua siri zao pia huku mmoja wao aliyefahamika kama Rachael akiandika,

"MY HUSBAND AND HIS FRIEND CAME UP WITH A PLAN TO CATCH HIS FRIEND’S WIFE CHEATING.

MY HUSBAND SLEPT WITH HIS FRIENDS WIFE AND FRIEND ‘CAUGHT’ THEM. SHE GOT PREGNANT AND DURING THE DIVORCE FOUND OUT THE BABY WAS MY HUSBAND’S.

FOUND THIS OUT AFTER 7 YEARS AND 3 KIDS." Alieleza.

Stacy naye alifichua na kusema vile mumewe amekuwa akishiriki ngono na rafafiki yake huu hapa ufichuzi wake;

"HE HAD HAD A 4-YEAR S#XUAL RELATIONSHIP WITH HIS BEST FEMALE FRIEND, THAT HE SWORE UP AND DOWN HE’D NEVER DATED. 

ALSO THAT HE HAD SE3UALLY ABUSED HIS SISTER WHEN HE WAS 12 AND SHE WAS 11.

I PICKED A WINNER, RIGHT? HE NEVER TOLD ME ABOUT THESE THINGS. I FOUND EVIDENCE OF THING 1 AND THE SISTER TOLD ME ABOUT THING 2.WE ARE DIVORCED."Aliandika.