logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Nilikuwa msagaji nikiwa miaka14, natumia pillow kupekejeng

Nilikuwa msagaji nikiwa miaka14, natumia pillow kupekejeng

image
na

Yanayojiri02 October 2020 - 05:26
Ni vijimambo ambavyo watu wengi hufanya na hata kupitia katika maisha yao, na kisha kusimulia kama wakati ushaapita na hata kujilaumu.

Mwanamke mmoja aliyefahamika kama Grace alisimulia kilicho sababisha awe msagaji na pia kutumia pillow kupekejeng kwa umri mndogo sana.

" Mimi na ndugu zangu tulikuwa tunaishi na shangazi yangu, kwa sababu wazazi wetu walikuwa wamesafiri kuenda ng'ambo

Alikuwa na mpenzi ambaye alikuwa na miaka zaidi ya,40, ilianza wakati alikuwa anatumia vidole vya miguu yake kushiriki ngono

Kuna wakati ambao shangazi yangu alienda kesha kisha akaja chumbani mwangu akanibaka." Alieleza Grace.

Grace alifunguka na kusema,

"THAT DIDN’T STOP THERE, HE CONTINUED USING HIS TOES TO FINGER AND RAPED ME SEVERAL TIMES.

SOMETIMES, HE WOULD TELL ME TO RUB MY PRIVATES ON THE SIDE OF THE BED. 

I FELT TRAPPED AND COULDN’T SPEAK OUT. HE WAS REALLY ABUSIVE TO MY AUNT SO I WAS ALSO SCARED TO SPEAK UP." Alisumulia.

Alisema kwa ajili ya kitendo hicho alizoea hadi akawa msagaji,

"Katika miaka,12, nilikuwa nimezoea ngono, hadi ni kawa msagaji, nilipofikisha miaka,14,mmoja wa wazazi wangu alirudi na kuandika dereva ambaye alikuwa ana mwamini sana 

Kila wakati akinipeleka shule alikuwa ananidhulumu,sikuwa anasikia kama anafanya kitendo kibaya kwa maana nilikuwa nishaazoea  ngono

Ata kama nilikuwa nasikia vibaya nilikuwa nishaazoea na nilikuwa nasikia vizuri hata nilipoenda chuo kikuu nilikuwa na huyo dereva licha ya alikuwa na familia." Alisimulia.

Alipomwambia shangazi yake vile mume wake amekuwa akifanya alikana na kumwambia anataka kuvunja familia yake, Grace alimalizia na kusema kuwa ni jambo ambalo limemuadhiri na hata huwa anatumia pillow kujipekejeng.

" Tangu siku hiyo nimejichukia kabisa na hata uwa najilaumu sana,hata nasikia nimelemaa sana katika ngono, nisiposhiriki pekejeng kwa muda mrefu uwa natumia pillow kupekejeng

Hivyo ndivyo mambo yalivyo mabaya tafadhalini nisaidieni jinsi ya kusahau kitendo hiki." Grace Alisema.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved