‘Mama yao’ Tazama Ujumbe ambao Nameless alimuandikia mkewe Wahu akisherehekea birthday yake

Mwanamuziki  Nameless  amejipa sifa baada ya kujitokeza kaka  mume wa nyumba na baba mzuri iwapo posti yake mtndaoni zinaweza kutegemewa .Nameless hajasaza kila fursa kuwatakia au hata kutoa kumbukumbu  kwa familia yake na rafiki zake kuitia mtandao.Leo amemuandikia  ujumbe wa kuvutia mke wake Wahu ambaye pia ni mwanamuziki . Katika Ujumbe huo , Nameless pia aliwataka mashabiki kumsaidia kumtakia mkewe Birthday Boomba !

Tazama

Baada ya ujumbe wake Nameless pia aliweka msururu wa picha zake na familia yake . mwisho wa ujumbe huo ili kuonyesha kwamba labda huenda poasiwe na party kubwa ,alisema #

Mama yao 👑🙌🏾. My life partner💪🏾🙏🏾. Teamate💯♥️, Twa-Mate, 😘😁💥. May you continue discovering your inner brilliance and wisdom. As you enter a new year of growth and self discovery, may you continue understanding your gifts and passions and use them to impact and inspire as you live in purpose., 🙏🏾👊🏾. Happy birthday babe. Wazitooo, help me wish this African beauty a HAPPYBITHDAY filled with love and laughter., 🎂 🤷🏾