Kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram aliandika jinsi alivyokuwa anampeza mwanawe, hapo jana Pierra pia alipost picha na kuandika maelezo mafupi jinsi anavyompenda na kutengana na mwanawe ni kama ndoto mbaya.
Huu hapa ujumbe wake
"If you know me...you will know how much i love my baby.Being separated has been one of my worst nightmares.
I get anxious..i get sleepless nights....but i thank God for my family who are extremely supportive and assuring me everyday that all will be ok. Thankyou." Pierra Aliandika.
Kwa sasa Pierra Makena yupo kwenye karantini, na kuwa katika kitengo hicho hawezi kuwa na wakati mwafaka kuwa na mwanawe.
Siku chache zilizopita baada ya kupata ndege ya kurudi nchini aliandika,
"FINALLY…! I GOT A BOARDING PASS AND I CAN SEE THE PRIDE OF AFRICA @OFFICIALKENYAAIRWAYS ……WAH MPAKA I AM EMOTIONAL! GOD IS GREAT….SEE YOU GUYS IN 15 DAYS🙉😔😖😖😖 THANKYOU GUYS FOR YOUR PRAYERS AND CHECKING UP ON ME… WAITING TO BOARD." Makena Aliandika.