logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Warembo kupindukia: Tazama picha za mkewe na wanawe Walibora

Warembo kupindukia: Tazama picha za mkewe na wanawe Walibora

image
na CONSOLATA MAKOKHA

Habari22 April 2020 - 18:13

Muhtasari


    Wiki iliopita wapenzi wa kiswahili, marafiki na jamaa wa Walibora walikumbwa na habari za majonzi na huzuni kuhusiana na kifo cha mwendazake.

    Ilisemekana kuwa Walibora aligongwa na gari katika eneo la polisi kisha kuaga dunia akiwa katika hospitali kuu ya Kenyatta.

    Baada ya upasuaji wa mili wake, daktari alisema kuwa Walibota alikuwa na majeraha mwilini mwake, huku ikiwabidi wapelelezi wa DCI kufanya uchunguzi kuhusiana na kifo hicho.

    Hii leo mwili wa Walibora ulisafirishwa kwa  ajili ya mazishi yake.

    Rafiki yake mwanahabari Walibora Swaleh mdoe akimuomboleza alikuwa na haya ya kusema;

    “I WAS A CLOSE FRIEND TO HIM AND EVEN I HAD NEVER HEARD HIM TALKING OF A BROTHER OR A SISTER OR EVEN THAT HE WAS MARRIED WITH CHILDREN. I REMEMBER THAT I LAST SAW HIM LAST YEAR WHEN HE GAVE ME A SIGNED COPY OF AN ENGLISH TRANSLATION OF HIS BOOK ‘SIKU NJEMA’.”Swaleh Alizungumza.

    Alizidi na mazungumzo yake na kusema kuwa,

    “I REMEMBER AT ONE TIME DURING AN AWARD CEREMONY IN ARUSHA, HE WAS ASKED TO PRESENT AN AWARD BUT THE AWARD INTRODUCTION HAD BEEN WRITTEN IN ENGLISH. BEFORE ANNOUNCING THE RECIPIENT, I REMEMBER HE MADE AN APOLOGY AND DECLARED THAT IT WOULD BE THE LAST TIME HE’D SPEAK IN ENGLISH.”

    Walibora alikuwa mumewe Anne Walibora na walibarikiwa na wasichana wawili warembo kupindukia Sheila na Katila, ambao wanaishi nchini Marekani.

    Mola ailaze roho yake mahali pema peponi.

    Tazama picha za mkewe na wanawe;


    RADIO JAMBO FREQUENCIES

    Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


    logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved