Otile Brown afuata nyayo za wenzake na ametoa wimbo mpya

NA NICKSON TOSI

Ni wazi kuwa mwezi huu wa Aprili umekuwa mwezi wa mafanikio haswa kwa wasanii wa humu nchini.

Wengi wao wamefanikiwa kutoa albamu, nyimbo mpya ama kufanya remix ya nyimbo za awali walizokuwa wamefanya hapo mbeleni.

Miongoni mwa wale ambao wamefanikiwa kutoa wimbo mwezi huu ni msanii kutokea Mombasa, Otile Brown.

Jamaa huyu ametoa wimbo kwa jina Juice ambao umepokelewa vyema kwenye mitanda ya kijamii.

Tazama video yake hapa.