Nyani haoni kundule! Muigizaji wa real househelps of Kawangware Awiti awajibu wakosoaji waliomuita sura mbaya

Muigizaji wa kipindi cha The Real Househelps Of Kawangware Winnie Rubi almaarufu Awiti ni mwanamke ambaye hapendi ujinga hasa kwa maisha yake.

Awiti huwa anaigiza kama mfanyakazi mwenye mang'aa kwa waajiri wake.

Muigizaji huyo amebarikiwa na mtoto mmoja, kupitia mitandao ya kijamii,  Awiti aliposti picha akiwa amevalia rinda nyekundu lakini si wote walipendezwa na picha hiyo.

Mmoja wa mashabiki wake alikuwa na haya ya kusema;

"UNAKAA VIBAYA GAI!!!!🥱🥱😂😂😂."

Awiti hakukimya alimpa bonge la jibu na kumnyamazisha,

"🤣I KNOW I LOOK BETTER THAN YOU."

Mwingine alijitokeza na kusema,

"STRETCH MARKS KWA MKONO."

Mkosoaji huyo alifuta ukosoaji wake baada ya kuweka jibu hili na muigizaji huyo;

"PROVES I GAVE LIFE…MANZE KA UNANGOJA NIKONDE HII UNLESS YESU ARUDI."

Mashabiki wengi huwa wanatarajia mengi kutoka kwa waigizaji, wasanii licha yao kujua kuwa pia wao ni wanadamu na pia huwa wanakosa, Awiti alizidi na kusema kuwa hatakuwa mmoja wa watu mashuhuri ambao wanakosolewa na wakosoaji na kisha kuacha walichokuwa wanafanya.

"WHY DO PEOPLE ALWAYS EXPECT PUBLIC FIGURES NOT TO BE RUDE OR RESPOND TO RUDE COMMENTS?? ARE THERE HEARTS MADE OF STONES?? ARE THEY NOT HUMAN TOO?? SOMETIMES IF U SEE SOMETHING U DON’T LIKE WHY NOT JUST SCROLL UNTO THE NEXT POST OR JUST UNFOLLOW… I REFUSE TO BE A VICTIM OF CYBER BULLYING. I WILL DELETE THAT POST NOW BUT I DON’T CARE IF IT MADE U FAMOUS OR NOT BUT THE TONGUE IS VERY STRONG INAWEZA ATA FANYA MTU AJIUE MANZE… ME IF U CALL ME UGLY, FAT, STUPID IT WON’T AFFECT ME CZ I BELIEVE M NOT ALL THT BUT IMAGINE KALE KA DEM HAKAJAZOEA MATUSI??? CZ IF U CALL ME FAT IF I DECIDE TO LOOSE WEIGHT U WON’T BE SENDING ME HEALTHY FOOD DAILY, IF U CALL ME UGLY CZ AM DARK AND DECIDE TO BLEACH U WON’T BE PAYING FOR IT. SO BE VERY CAREFUL WITH WAT U TELL PEOPLE ON IG CZ MIMI HAPAAN TAMBUA, NTAKUPEA TU DOSE HAPO NA HAPO. I AM ONLY HUMBLE TO PEOPLE WHO ARE HUMBLE TO ME AND RUDE TO RUDE PEOPLE AS WELL." Aliandika.