Mashati hayo yanachaguliwa na dezaina wa nguo zake wa kampuni ya Rivatex East Africa Limited ilioko katika kaunti ya Eldoret.
Kampuni hiyo ilisema kuwa wanashukuru kwa maana rais Uhuru anawaunga mkono na kuwasaidia katika kazi yao.
“HOPE IS INSPIRED BY WHAT AND HOW WE DRESS. PRESIDENT UHURU KENYATTA IS OUR NUMBER ONE SUPPORTER OF OUR FABRICS." Kampuni hiyo iliandika kwenye mtandao wa kijamii.
Baada ya hapo, Uhuru amekuwa akivaa shati tofauti la kitenge endapo anahudhuria mikutano au kutoa hotuba yake kwa wananchi.
Ni wazi kuwa Kenyatta anapenda mashati hayo. Tazama picha zake kama vile zifuatazo;