'Diamond si league yako,'Mashabiki wamwambia Otile Brown

Otile-vs-Diamond-696x418
Otile-vs-Diamond-696x418
Msanii wa bongo Otile Brown atatoa albamu yake mpya hivi karibuni akimshirikisha msanii Mejja katika kibao hicho kinamkejeli sana msanii wa bongo Diamond Platnumz.

Pia kibao hicho anaozungumzia vile ana warembo wazuri kumshinda msanii Diamond almarufu Simba.

"NAKATA MADEM WAKALI ZAIDI YA…SIMBA WENU MLA NYASI MENU HAINAGA NYAMA- SISHOBOI HATA NGOMA ZIKIBUMA."

Diamond amewachumbia wanawake kadhaa maishani mwake na kisha kuachana na0. Mashabiki hawakupendezwa na vile Otile anamkejeli simba na walikuwa na haya ya kumwambia;

Malcom Lamar Bullshit, diss is strictly for hip hop, How do you diss someone using these lullabies ??🤣,

I mean these niggas should stick to singing for broken-hearted gals and wives. Diss tracks Ni za OG , Meek Mill, Eminem and the likes

Jared Nyongesa Simba si league ya huyu mtoto

Ruel David Mbaru Diamond will never respond, hii ni kama kuwekea mtu status imchome kumbe ali ku mute😂😂😂

jayvlogs684 How do you expect album yake kusale bila kiki😂😂😂

Darly Cruzy Otile watafuta kiki bado we mtoto wa juzi kutoka mikindani

shvades_elsa Lakini enyewe otile hajiheshimu🤣🤣🤣🤣anaezaje beef na diamond aaaah😂😂😂😂💔this funny though. Ni kama useme Mca kuargue na president

tileh_danceking_pacbro Why everyone in kenya tryna clout chase with Platnumz? Smh

Ngere Speaks Sick …lines over Their …Huyu Simba hana Meno 😁😂😂😂😂😂

Shiko Lakkisha Martist Wakenya wanadiss diamond na maneno ya chuki while diamond is busy releasing hits

ayieshre juzi magix leo otile kwani Diamond amekuwa threat kwa kenyan music industry