Kama wewe ni mwanamke, uza hiyo kitu upate pesa! Huddah awashauri wanawake

wpid-huddahhot
wpid-huddahhot
Mwanasosholaiti wa humu nchini Huddah Monroe sasa amewashauri wanawake kuuza visima vyao vya asali ili kuepukana na umaskini ambao umekithiri.

Huddah amesema ni upuzi kuona wanawake wengi nchini wanaendelea kuomba pesa ilhali wana njia tofauti za kutengeneza pesa zao.

Kupitia mtandao wake, kichuna huyo alikuwa na haya ya kuandika.

 

Amesema kuwa anafahamu baadhi watu watamkosoa kutokana na ujumbe huo japo ni vyema kuuza kisima cha asali kuliko kuendelea kuwasumbua watu na kukopa pesa kila mara.
Aliandika hivi Huddah.

I KNOW TELLING PEOPLE TO SELL P***Y IS BAD ADVICE BUT AH! WHOEVER IT’S DIRECTED TO. SOME CHRONIC BORROWERS..THEY KNOW THEMSELVES. DO WHATEVER AS LONG AS YOU DON’T BURDEN PEOPLE WITH YOUR PROBLEMS. EVERYONE IS HUSTLING TO MAKE ENDS MEET. NO FREE BIZ! Amesema Huddah .

Mwanasosholaiti huyo tatanishi ameongezea kuwa hatakubali watu kuendelea kumuomba pesa ifikiapo mwaka ujao.

FAVORS AND BORROWING END IN 2019. ONLY HELP DISABLED PEOPLE AND YOUNG ORPHANED KIDS ONLY. THE REST SHOULD TAKE CARE OF THEMSELVES. YOU DIDN’T COME TO SWEAT FOR OTHERS,’ amesema Hudda.

Amewasihi wanawake kujitolea na kuanza kutafakari mbinu mbadala za kutengeneza pesa maishaani.

ASK YOURSELF IF YOU DIED TODAY WILL YOUR FAMILY MEMBERS DIE TOO? OR PEOPLE WHO DEPEND ON YOU WILL DIE TOO? NO! THEY’LL FIGURE WAYS TO SURVIVE. Aliongezea Huddah