Akisherehekea siku yake ya kuzaliwa huku akiwa amefikisha miaka 30, aliposti picha yake ya zamani huku akielezea jinsi safari yake ya maisha imekuwa licha ya kuwa na changamoto nyingi.
"Huyu Mungu!!!siku moja nitawapa hadithi ya jinsi nilihitimu kutoka kuishi nyumba ya matope niliokuwa nikilipa kodi ya mia moja na kwenda katika nyumba ya mabati niliokuwa nalipa mia mbili kila mweziHaya mabati unayaona hapa kwa hii picha yalikuwa yangu, ulikuwa mwaka wa 2010, baada ya kumaliza kidato cha nne nilikuwa na miaka 20
Ni nini Mungu hajanifanyia jameni nitakutumikia milele Mungu wangu, impossible is nothing!am breaking down as i write." Aliandika Silprosa.
Mashabiki wake Silprosa hawakukimya bali walikuwa na haya ya kumwambia.
idah_katile To God be the glory 🙏🙏Happiest birthday
gracemwaliko 🔥🔥🔥🔥I love u Silprosa
supanyvel And you are ever happy and joyful 🙏
endiachi2 God has really done you good Sandra nya Busia. He’s above all😍😍
emilyadhis45 Wow Siprosa, what an encouragement!
kezy_kazina @sandra_dacha our God is always a God of wonders keep going gal you are a happy soul
massawejapanni You’re a beautiful story dear
daisyelsie If he did it for you he will do it for me
kawa.ii_e Wacha Mungu aitwe Mungu
merceline.atieno God never slumbers 🙏🙏🙏🙏
mukarializa I rem ukiact in our school utengano ukiwa Bi Farashuu 😂😍
mrs._tonney We give God all the glory