Hot Soup: Anita Nderu apondwa mtandaoni kwa kuwashirikisha wanaume shoga katika kipidi chake cha upishi

Mtangazaji Anita Nderu amejipata pabaya katika shoka la wanamitandao baada ya kuwashirikisha wanaume wawili mashoga katika kipindi chake cha upishi mtandaoni .

Uvamizi dhidi yake na shutma umetokana na hatua yake ya kukifanya kiindi hicho cha instagram najamaa hao wawili walioonekana kuwabughudhi watu wengi kwa jinsi walivyokuwa wakizungumza na kudensi  ila jambo ambalo Anita hakufahamu ni jinsi hatua hiyo yake ingevyozua mhemko mitandaoni .

Mashabiki wake ambao hufuatilia kipindi hicho cha upishi  walionekana kughadhabishwa na wageni walke licha ya Anita kusema kipindi hicho kilikuwa mojawapo ya alivyopenda sana na kujienjoy .

https://www.instagram.com/p/CCIEZkBh7RG/

atmahibrahim1 No wonder Covid 19 is after us.

newtonk267 Umelipwa na nani usaport hii ujinga it’s not our tradition and will never be

gracie_successful The way I respect u what ar u doing with gay guys

abel_chomber Bullshit crap crap crap

jame.st4 Just wrong

evans.damji Delete

esthershero Woi this post made me so tired… Sigh

Ukosoaji aliopata ulimfanya mtangazaji huyo wa zamani wa the trend kujitokeza kwa majibu katika instagram  akisema walioalikwa walikuwa watu halisi na miennendo yao ni kama wanavyojichukulia kila siku wala kipindi kizima hakikuwa cha maigizo .

“I respect your opinion. I simply asked my friends to come on my web show and be themselves. What any of us have chosen to do on the show is how each of us is. Nothing about my show is scripted. What you see from the guests, food to outcome is what actually genuinely took place,”  aliandika Nderu

Baadaye aliandika ujumbe mwingine katika instagram akisema anaunga mkono haki za watu wa jamii ya  LGBTQ akiongeza kwamba hatalazimishwa kukimya kuhusu anachoamini na kukiunga mkono .

“Also, I will never be bullied into silence. As human beings, we have the right to refuse to be defined by what other people think rather we must define ourselves. As people, we should celebrate our differences, encourage authenticity & wonder at the diversity of humanity. We all have a right to love and be loved however & whenever. #Propride #ProLGBTQ”