Jumapili katika makala yakee ya Virusi safarini, aliweka wazi askari wanaochukua ongo na kuwaruhusu wananchi kuingia na kutoka katika kaunti ya Nairobi.
Ingawa baadhi yao hawajapendezwa na ripoti yake Purity wengi wao wamempongeza kwa kazi yake nzuri.
Puritybamefanya kazi latika runinga ya KTN,K24 Citizen miongoni mwa runinga nyingine, huku akiripoti maka tofauti kama, Makasisi Wabakaji, Murder for Profit, Bweta La Uhalifu na Virusi Safarini.
Hizi hapa baadhi ya picha zake;