"MUNGU KANIFANYIA MSAIDIZI HUYO SIKUKAMA YA LEO NA TAREHE YA LEO NAKUPENDA MOM HAPPY BIRTHDAY TO YOU." Aliandika Solomon.
Solomon ambaye alipoteza mkono wake wa kulia akiwa mtoto mdogo kwa kawaida amekuwa akisimulia jinsi alikuzwa katika familia yenye uchawi.
"Nilipoteza mkono wangu nikiwa na miaka kumi na 12 baada ya mpango wa kando wa baba yangu kuniroga, mkono ulianza kuoza wenyewe na nikaambiwa napaswa kuukata." Alisema Mkubwa kwenye mahojiano ya awali.
Hizi hapa baadhi ya picha za mkewe;