Robert Bodo alikamatwa na bastola aina ya Ceska ikiwa na risasi 13 inayoshukiwa kutumika katika mauaji hayo kupatikana.
Mshukiwa huyo alikuwa kwenye vyombo vya habari baada ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanawe gavana wa Nairobi Mike Sonko, Saumu Mbuvi.
Wawili hao walikuwa kwenya mahabara ya mapenzi bali hawakukaa sana walitengana kwa sababi moja au nyingine.
Mauaji yake yaliripotiwa na kakake, Wycliff Omwenga.
Wycliffe aliripoti kwamba alikuwa na Kevin, Bodo, wanaume wawili na mwanamke nyumbani mwa Kevin.
Alisema kwamba akiwa jikoni akitayarisha chakula cha jioni, alisikia mlio wa risasi kutoka chumba cha kulala cha Kevin alikokuwa na Bodo. Alipowasili alimpataka Bodo akiharakisha kuondoka.
Hizi hapa baadhi ya picha zake;