Gavana wa Tharaka Nithi Muthomi ajisalimisha kwa EACC

njuki
njuki
Gavana wa kaunti ya Tharaka Nithi Muthomi Njuki mnamo jumatatu,7, Septemba amejisalimisha kwa kitengo cha EACC, alijisalimisha katika jumba la Intergrity anatarajiwa mahakamni kujibu mashtaka ya ufisadi.

Gavana huyo anatarajiwa kupeana mwelekeo kuhusu shillingi millioni 34.9 za zabuni ambazo hazijulikani vile zilivyotumiwa.

"Mradi huo ulikuwa umenunuliwa, kutekelezwa na kuagizwa bila tathmini za athari ya mazingira na kabla ya kupewa leseni na wizara ya mazingira ya taifa(NEMA)." Ilisoma habari ya DPP.

Mkewe Njuki ni iongoni mwa watu tisa ambao wanatarajiwa kujibu mashtaka.

Mengi yafuata;