Itabidi basi maisha yaendelee chini ya hali hii lakini sasa masharti yanafaa kufutwa ili kuhakikisha kwamba Amani inapatikana katika familia chini ya mazingira haya mapya .
Kuna wasiotaka kuolewa au ndoa na wao wameridhika na kuitwa wanawake wa pembeni au mpango wa kando . Sasa iwapo upo katika kundi hilo Podi hii inakupa mwongozo wa mambo unayofaa kufanya ama kupeuka iwapo unajitambua kama mpango wa kando