Lulu Hassan awafurahisha mashabiki baada ya kupakia picha yake ya zamani Instagram

Mwanahabari wa runinga ya Citizen Lulu Hassan amewafurahisha mashabiki wake baada ya kupakia picha yake ya zamani kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Picha hiyo alikuwa katika shule ya upili, huku wengi wakitoa maoni yao tofauti,baada ya kuposti picha hiyo Lulu aliandika ujumbe mfupi unaosoma,

"Ohh!!Muda huyoyoma kwa haraka, kukua ni haraka." Aliandika Lulu.

Hii hapa baadhi ya hisia za mashabiki wake;

https://www.instagram.com/p/CFOnQY8Fetq/

Katisho kalikuwa high school pia😂

🤭 kumbe ulikuwa ule Dem mbona hujatack in

Time flies, Diana alipotea wapi?

Adulting is hard

😂😂🔥 innocent Loulou then

Sasa niko na moja ya TJA 😂😂😂😂. Tunazeeka

Watu wa group of schools same WhatsApp group😂