'Nilidhani Vera alihitaji upasuaji wa akili kuliko kuongeza matiti,'Maverick Aoko

Mwanamitandao Maverick Aoko akiwa kwenye mahojiano alidai kwamba hamna tofauti kati ya mwanasosholaiti,slayqueen na kahaba ambao wanauza mili yao wa ajili ya pesa, ilhali tofauti ni vile watatu hao hufanya kazi.
"Hamna tofauti kati ya mwasosholaiti,kahaba na slay queens tofauti ni jinsi wanafanya kazi yao na wanafanyia wapi, kahaba husimama kwenye mitaa ilhali slay queens na sosholaiti wamefanya mitandao ya kijamii kuwa makao yao ya kazi." Aoko Alisema.

Huku akizungumzia wanawake wanaoenda kuongeza sehemu zao za mwili alisema kuwa,

"Vutu vingine kama ivi ambavyo wanharibu pesa kuzitumia ndio maana kila mara wanarudi wa daktari kuangaliliwa au kupewa matibabu zaidi

natamani wanawake wangechukua muda huu na rasilimali zao na kutilia maanani vitu ambavyo vtawakimu hata wakati urembo utaisha

hizo ni pesa zake nafikiri alihitaji upasuaji wa akili kuliko kuongeza matiti."

Huku Vera akiwa kwenye mahojiano alisema kuwa ilimgharimu millioni mbili kuongeza matiti zake ili awe sawa katika mwili wake.