Wewe ni side-chick?Hizi hapa sababu ambazo mwanamume hawezi muacha mkewe

Katika kisasi hiki cha sasa wengi badala waoelewe wanapenda kuwa mipango ya kando ya wanaume ambao wanafamilia na watoto wao huku wakiwaongezea majukumu ya kila siku.

Lakini kuna sababu moja au mbili ambazo mwanamume hawezi acha familia kwa sababu ya side chick na hizi hapa sababu ambazo mwanamume hawezi acha familia yake kwa ajili ya side chick.

1.Watoto

Kama mwanamume ambaye ana akili timamu hawezi acha watoto wake wateseke kwa ajili ya mwanamke mwingine, kwa kawaida wanaumwe wengi wanapenda watoto wao kwa maana hujivunia kuwa nao.

Wao ndio nguvu yake ya kuamka kila asubuhi na kuenda kuwatafutia.

2.Wake huwawezesha

Kama mwanamume yuko na shid fulani kwa kweli mkewe atamuelewa na bali hatamuitisha pesa kwa sababu anajua hali yake na mfuko wake ulivyo na si kama side chick ambaye kia wakati ni kunyakua pesa na wala si kuekeza.

3.Ni picha yake

Mwanamume hujivunia mkewe na kuonyesha kila rafiki familia yake na wala hawezi tambulisha side chick kwa marafiki kwa maana hajafaulu kuwa mke.

4.Anampenda mkewe

Wazo la mtu kuwa mwanamume anampenda mkewe na kisha kuwa na mpano wa kando linakanganya lakini hufanyika, watu ambao ukiri wanawapenda wake zao wanatambulika kama ndio nambari moja kuwadanganya na kucheza na hisia zao na hawawezi kuacha wake zao kuteseka au kuenda kwa maana wanawapenda.

5.Kwanini abadilisha ladha yake

Kama umekuwa ukimpa haki yake kila wakati atakapo kwanini aje kwa ladha ile ile ambayo amekuwa akipokea bali atabadili kwa maana amekaa sana bila kupewa haki na mkewe.

Kwa miaka amekuwa na mkewe na kwa hakika hawezi kumuacha.

Haya basi Side Chick habari ndio hiyo kama wajua wewe ni mmoja wao kwa kweli mwanamume huyo hang'atuki kwa mkewe cha kufanya tafuta maisha yako na mwanamume wako aweze kujivunia nawe.