Nilimuoa akiwa na mtoto sasa yuataka kurudiana na baby daddy+Podi ya Yusuf Juma

Jamaa mmoja amejikuta mashakani baada ya mpenzi wake ambaye wameona kwa muda wa miaka miwili sasa kubadilisha nia kutaka kurudiana na mpenzi wake wa zamani ambaye pia walikuwa wamepata mtoto naye .

Katika Podi hii tunakueleza masaibu ya  uzazi katika hali ambazo kuna mmoja wenu au nyote kuingia katika ndoa au mahusiano mkiwa na watoto kutoka mahusiano ya hapo mbeleni