Huyo ni nani? Jacque Maribe azungumzia uhusiano wake na Jowie

Jacque Maribe na Jowie Irungu waligonga vichwa vya habari wakati wa mauaji ya mwanabishara Monica Kimani huku wakikamatwa na kushtakiwa kwa mauaji hayo.

Jowie akiwa katika mahojiano na radiojambo alipoulizwa ama huwa anazungumza na Jacque alisema la , huu akisema biashara ya Jacque ni ya Jacque na ni vyema asiweze kuzungumzia uhusiano wao.

Aliwaambia mashabiki waweze kuenda youtube na kusukma kazi ya Jacque.

Huku naye Jacque akiwa kwenye mahojian alipoulizwa swali hilo hilo aliuliza Jowie ni nani, na huwa hazungumzii mwanamume huyo.

"Huyo ni nani,huwasizungumzii huyo mwanamume, kwa maana tuna kesi kortini na hamna haja ya kumzungumzia na kupeana khabari kwa kina nini kilichotendeka na cha pili huwa sijali kumuhusu kabisa." Alisema Jacque.

https://www.instagram.com/p/CF2A599HMs9/

Mkewe Jowie wakati wa mahojiano alipoulizwa kama amemsamehe Jowie na kama anatushwa na Jacque alisema,

"Wakati wa Jacque maishani mwa Jowie mimi sikuwa na wakati wangu hayuko mimi si tisho kwa Jacque na Jacque si tisho kwangu." Alisema Eleanor.

Haya basi jinyakulie magazine yako usome mengi kuhusu Jacque Maribe.