Mungu mponye: Wakenya watuma jumbe wakimtakia Ghost afueni ya haraka

Muhtasari
  • Ghost Mulee alipelekwa hospitali na mtangazaji mwenzake Jalang'o
  • Hali yake iko thabiti,gari lake lilipelekwa katika kituo cha polisi spring Valley

Baada ya mtangazaji Ghost Kuhusika katika ajali asubuhi ya ijumaa wakenya na mashabiki walituma jumbe za kumtakia afueni ya haraka.

Ghost alipata ajali mwendo wa saa kumi na moja unusu huku gari lake likiharibika, baada ya matatu moja kumgonga.

Mtangazaji mwenzake Jalang'o alimpeleka hospitali na alikuwa na haya ya kusema kuhusu ajali hiyo.

"Nilipita maeneo ya ajali mwendesha pikipiki alinikimbikiza na kuniambia kuwa ni mwenzangu ambaye amehusika katika ajali

Nilirudi na kumpata Ghost, matatu ilimgonga nyumba alipokuwa katika maeneo ya brookside, pia iligonga upande wake

Nilimpeleka katika hospitali ya Agha Khan." Jalang'o Alieleza.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za wakenya;

Kiriago Mitema Kev Ghaii pole to the man with the most unique laughter ๐Ÿ™in morning waves all over the country

John Gizzy Adera Action to the reckless driver, ghost pole sana

Catherine Shitawa Mungu amponye

 

De Biggy Bonniey Speedy recovery!

Andrew K Kiplagat Quick recovery

Aida Tala Quick recovery Ghost

Nzisa Kasau Pole Sana wish you quick recovery

Kutoka kwetu wanajambo tunamtakia afueni ya haraka, hizi hapa baadhi ya picha za gari lake;