'Leo kabla hujasema chochote, teuwa majaji 41.' Murkomen amwambia Rais Uhuru

Muhtasari
  • Teuwa majaji,41,kabla hujasema chochote leo,Murkomen amwambia Uhuru kenyatta
  • Ambia wananchi vile utaleta chama cha jubilee na serikali yako pamoja

Leo ikiwa ni siku ya rais wa jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa baadhi ya viongozi wamemtakia siku njema ya kuzaliwa huku seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen akimtaka Uhuru kfanya mambo kadha wa kadha kabla ya kusema chochote hii leo katika ukumbi wa Bomas.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter Kipchumba alimtakia Uhurru siku njema ya kusheeherekea siku yake ya kuzaliwa na kutaka haya kufanyika,

"Hapibathidei rais Uhuru Kenyatta, leo kabla hujasema chochote kuhusu udumu wa kikatiba na umoja wa taifa tafadhali teuwa majaji,41, na uondoe mmoja ambaye alifariki 

 

Pia waambie wananchi vile utaunganisha chama chako na serikali, Mungu akubariki." Aliandika Murkomen.

Baadhi ya viongozi pia waliomtakia siku njema ya kuzaliwa ni pamoja na;

Millicent Omanga: Happy birthday Mr President. Naskia umeorganize bash ya nguvu pale Bomas. Have a blast!

Donald B Kipkorir: On this day that we officially launch the #BBIReport & usher in a new era in Kenya that offers equal opportunity to all Nations of Kenya & bring moral decency in politics & public service, I wish our President #HappyBirthdayUhuru

Kutoka kwetu wanajambo tunamtakia rais wetu siku njema, huku akisheherekea siku yake ya kuzaliwa.