'Tanga tanga wamechanganyikiwa,' Wakenya wamshambulia Murkomen baada ya kusema haya

Muhtasari
  • Hakuna Kenya A ama Kenya B  Tunasema hakuna usaliti adai Kipchumba Murkomen
qiPJWXQt_400x400
qiPJWXQt_400x400

Seneta wa Elgeyo Marakwet Alhamisi alipokea ushambulizi kutoka kwa wakenya baada ya kusema kwamba alikutana na Musalia Mudavadi ili kuzungumza na kutoa maoni kuhusu ripoti ya BBI.

Kwa ujumbe wake Murkomen alisema kuwa Kenya haijagawanyika mara mbili wala kuwa na upande A na B.

Pia kiongozi huyo alisema kuwa kama ni kubadilishwa kwa katiba inapaswa kupitia kwa ripoti ya BBI basi wanapaswa kujenga makubaliano katika hati ambayo italeta matokeo ya ushindi kwa pande zote.

"Hamna Kenya A wala Kenya B kila mtu anastahili, kama maseneta tunaamini kama katiba yapaswa kubadilishwa kupitia BBI tunapaswa kujenga makubaliano kupitia hati ambayo italeta ushinda wa kila upande na yanaleta umoja wa taifa

Tunasema hakuna usaliti tulikutana na kushauriana na @MusaliaMudavadi juu ya njia bora ya kuendelea na mbele." Murkomen aliandika.

Huku baada ya kuposti ujumbe wake wakenya hawakulaza damu bali walitoa hisia tofauti tofauti na hizi hapa baadhi ya hisia zao.

The Observer: Narrative Changes. It’s Yes For BBI Now, Only Amendments tu! TangaTanga are confused lots Now Consulting A close Ally of Raila and Ruto, Mudavadi to reunite Uhuru with DP thro backdoor. Opposition 

Curious: There was a time you used to say watameza mate,na sisi tukule nyama....what were you trying to say.. .you didn't know kenya has A or B.. ..nani wacha unafik.

Sir Kennedy: You were given an opportunity to give your views before the BBI committe which your boss Uliam participated in forming and nominated some wazees in but you refused to go because your same boss said no. The win-win could have been achieved if you shared ur views

Joseph Mwangi: I believe so,bt don't address senators http://only.talk to hustlers as a whole

Mt Kenya Spokesman: Either you support or not it will still go through...,. Wewe si wa umuhimu...

Kiigen.K.Koech: Thank you. Please meet Raila Odinga next.

Kanyango Githae: There is only one Kenya, led by President Uhuru Kenyatta. Expanding the government is how we ensure we keep Kenya together, united and at peace.